Phone: +255 715237973 Email: info@jobnet.co.tz

Nafasi 6 Za Kazi

 • Location:
 • Salary:
  negotiable
 • Job type:
  Full-Time
 • Posted:
  1 year ago
 • Category:
  Agriculture
 • Deadline:
  January 26, 2019
 • Languages:
  English, Swahili
 • Gender:
  Male, Female
 1. Mwendesha Mashine ya kutotolesha vifaranga

             Eneo la kazi : Dar es Salaam

             Nafisi  2

Majukumu

 • Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutunza mayai, maandalizi ya kutotolesha, kutunza vifaranga pammoja na usafi wa eneo la kazi.
 • Kuandaa masanduku ya kuhifadhia vifaranga, kupakia na kufunga masanduku ya vifaranga pamoja majukumu mengine ya
 • Kuhakikisha utunzaji sahihi, usafi na usalama wa vifaranga
 • Kufuata taratibu zote za uendeshaji wa ofisi kama ilivyoelezwa na sera ya kampuni
 • Kufanya kazi zote zinazohusika kama utakavyoelekweza na msimamizi wa kazi

Ujuzi

 • Elimu ya sekondari
 • Uwezo wa kukamilisha kazi chini ya usimamizi mdogo
 • Uwezo wa kufanya kazi kwa haraka
 • Kuaminika katika mahudhurio ya kazi pamoja na jitihada za kazi
 1. Mashine ya kuandaa chakula cha kuku

             Nafasi 2

             Kurepoti kwa Afisa uzalishaji

             Eneo la kazi : Dar es salaam

Majukumu:

 • Kutengeneza chakula cha kuku kwa kazingatia maelekezo sahihi
 • Kuandaa mifuko ya kuhifadhia pamoja na kuhakiki alama ya kampuni katika mifuko.
 • Kubeba mizigo na kuiingiza kwenye magari ya wateja
 • Kuiangalia na kufuatilia ubora wa chakula, uzito, na ufungaji.
 • Kuweka kumbukumbu sahihi ya uzalishaji wa kila siku
 • Kudumisha usafi wa eneo la kazi.
 • Kufanya kazi nyingine zinazohusiana na uzalishaji pamoja majukumu kama invyo

Ujuzi

 • Elimu ya kidato cha nne
 • Uelewa katika mahesabu.
 • Uzoefu katika uzalishaji wa kutumia mashine.
 • Uzoefu wa kutumia mashine
 1. Uzalishaji wa kuku wa nyama;

       Nafasi 2

     Majukumu:

 • Kupokea vifaranga kutoka kwenye makaratasi na kuviweka katika mabanda ya kufugia kuku.
 • Kusafisha vyombo vya chakula cha kuku.
 • Kunyunyizia chanjo na dawa katika mabanda ya kuku.
 • Kukagua kama kuna kuku wagonjwa na kuwaondoa katika banda.
 • Kuandaa taarifa ya ulaji wa kuku.
 • Kahukikisha kuku wamekula, wana maji.
 • Kufanya majukumu mengine kama utakavyoelekekezwa na msimamizi wa kazi

Ujuzi

o Angalau elimu ya shule ya msingi

o  shauku ya kazi ya kuku

o Uwezo wa kushughulikia kazi zinazohusiana na kuku

o Lazima uweze kukamilisha kazi kullongana n a majukumu utakayopangiwwa

o kuweza kutambua kuku Mmwenye ugonjwa

o Lazima uweze kufanya kazi chini ya udhibiti mdogo

o Kuaminika kuthibitishwa katika mahudhurio ya kazi na nia ya kutoa juhudi bora

 1. Mashine ya kusaga nafaka,

             Nafasi 2

              Eneo la kazi: Dar es Salaam

               Kurepoti kwa Afisa uzalishaji

Majukumu:

 • Uwezo wa kutengeneza itakapohitaji matengenezo madogo.
 • Kufanya usafi wa mazingira ya uzalishaji.
 • Uwezo wa kumudu kazi zote muhimu kuendesha vifaa vyote vya mashine.
 • Uwezo wa kufanya kazi masaa kwa masaa yatakayopangwa.
 • Nia ya kufanyakazi kwa muda unaohitajika

Ujuzi

 • Elimu ya kidato cha nne
 • Uelewa katika mahesabu
 • Uzoefu wa uzalishaji kwa kutumia mashine
 1. Store keeper

              Nafasi 2

              Eneo la kazi: Dar es Salaam

                 Kurepoti kwa afisa uzalishaji na mununuzi

             Majukumu:

 • Kuhakikisha kuwa maghala hupangwa kila mara na yana muonekano mzuri
 • Kuandaa kumbukumbu ya bidhaa zilizopo, zinazotoka nz zinazoingia
 • Kufuatilia ubora wa bidhaa zinazoingia na zinazotoka.
 • Kuhifadhi vifaa na bidhaa vizuri ili kuzuia uharibifu.
 • Kuzingatia usafi wa eneo la kazi.
 • Kuzingatia mahitaji ya usalama wa bidhaa

Ujuzi:

 • Elimu ya cheti katika utunzaji wa vitu
 • Ujuzi katika mawasiliano.
 • Kuwajibika na kuaminika
 • Uwezo wa kufanya kazi kwa ushirikiano na wenzao wenzake kama sehemu ya timu yenye usimamizi mdogo
 • Uwezo wa kuzingatia mahitaji ya wateja
 1. Mlinzi;

Nafasi 3

             Eneo la kazi: Dar es saalam

             Kurepoti kwa afisa utumishi na utawala

              Majukumu

 • Elimu ya shule ya msingi
 • Kulinda mali ya kampuni na wafanyakazi
 • Kuchunguza kama kuna ishara za uhalifu

Ujuzi

o Angalau elimu ya msingi

o Mafunzo ya JKT

o Uthibitisho wa akili na tabia nzuri

o Ustahili wa afya na  kwa kufanya kazi za usalama

This job has expired.